Wadau, mashabiki na wapenzi wa muziki na dansi tunapenda kuwajuza @marafikimusicfestival pamoja na @habanahaba_dance_festival imewasili kwa sham sham, Yani uhakika wa burudani yenye uweredi na viwango vya juu kwa ngoma za asili na contemporary pamoja na muziki mubashara wa kiafrika umewasili.
Elimu, Burudani, Maonyesho na sherehe za kufurahia ngoma za asılı na muziki wa kiafrika na utamaduni wetu utafanyika;
03.10.2024 – pale @the_slow_leopard chole road Masaki.
04-05.10.2024 – @nafasiartspace
06.10.2024 Bagamoyo kwenye hotel ya @fireflybagamoyo
TIKETI ZINA PATİKANA KWA KINGILIO CHA BEI HIZI.
20,000/=TZS (SIKU 3)
10,000/=TZS (SIKU 1)
15,000/=TZS (MLANGONI)
Piga; +255753325213 kwa reservation ya tickets | Nilipe app @nilipetz au fika hapo Alliance Francaise, Goethe-Institut ASEDEVA, Nafasi Art Space kujipatia ticket yako mapema.
•
•
Tamasha hili pia litatoa fursa ya mijadala ya Sanaa ya dansi na muziki na Networking kwa Vijana (wasanii) na wadau kwenye sekta ya muziki na dansi.